Kuna ndugu yng alienda kusahihisha anasema wamemaliza Jana.
Bado wana standardize
Wanastandardise kama kawaida wa2letee mamburula form tatu
Mwezi wa pili mkuu.
Kinene said:Tulia bado
kibene said:Bado wana standardize
mdeki said:Yatatoka mapema tuu
Mr liverpool fc said:Matokeo ya kidato cha pili ni kabla ya tar20 January.
Asante kwa taarifa mkuukiss cool said:Bymwata:
Kuna ndugu yng alienda kusahihisha anasema wamemaliza Jana.