Matokeo ya Kidato cha Pili 2016

..kwanza wewe unayaonaje?!
 
Mabaya...unashindwa kupata A form two utaipatia wapi tena😎
 
Mmh kweli humu tuna watoto hadi kidato cha pili? Matokeo yako ni ya kawaida ila ongeza juhudi ujipatie hata A.
 
Umefeli vibaya sana... Form Two umepata Merit,Form Four nadhani itakuwa Credit ukiendelea kutumia SmartPhone...
 
Hahaha, wacha wee, mi mbna smartphone nilianza kutumia toka class 7
 
Dogo komaa na shule zaidi, huku JF hakukufai. Angalao ukiwa FB si mbaya sana utaonana na vijana wenzio...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…