Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanatoa tarehe 15/2/2014
mkuu hizi habari ni za uhakika?
mkuu hizi habari ni za uhakika?
mpaka sasa matokeo ya mtihani wa taifa wa kidato cha 2 mpaka leo hayatoka huku shule zikiwa zimefunguliwa,nini tatizo makamanda?BRN vipi imekula kwao sana?
mpaka sasa matokeo ya mtihani wa taifa wa kidato cha 2 mpaka leo hayatoka huku shule zikiwa zimefunguliwa,nini tatizo makamanda?BRN vipi imekula kwao sana?
Duh! Nilikuwa siamini kama humu tuna watoto mpaka wa Form two
Wamo wengi tuDuh! Nilikuwa siamini kama humu tuna watoto mpaka wa Form two
Hahahh! Wana hofu tena wakiyatoa raia wataponda kwamba watoto wa wamefeli hahhahah! Ila sisi raia tupo kwa kazi hyo bana kwa ni mwendo wa kunyooshana tu ukiboronga na matokeo yenu kama yatakuwa mabovu! Sis ni kuponda tu!
[h=2]Biashara ya Uchawi Tanzania[/h]Mikoa saba nchini Tanzania ndiyo tishio kwa kuwa na nguvu kubwa za uchawi
1. Tanga ndio kinara
2. Lindi unafuatilia
3. Dar es Salaam
4. Mtwara
5. Tabora
6. Kigoma
7. Mwanza
Mikoa yenye wachawi wengi, kwa maana kwamba karibu kila kaya kuna mchawi
1. Sumbawanga (Rukwa) ndio kinara
2. Ruvuma inafuatialia
3. Mbeya
4. Singida
Mikoa ambayo wananchi wake ndio wateja wakuu wa wachawi
1. Kilimanjaro inaongoza
2. Morogoro inafuatilia
3. Kagera
Wateja wengine wa wachawi
1. Wafanyabiashara
2. Wasanii
3. Kina mama wa nyumbani
4. Wanafunzi wa shule za sekondari hasa wa kidato cha pili.
Kwani kuwa form 2 inamzuia mtu kutoa kile alicho nacho moyon hapa jf? au ni roho ya kibaguzi miongoni mwetu