Matokeo ya kidato cha pili mtihani wa taifa utata

Magembejr

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2014
Posts
618
Reaction score
75
mpaka sasa matokeo ya mtihani wa taifa wa kidato cha 2 mpaka leo hayatoka huku shule zikiwa zimefunguliwa,nini tatizo makamanda?BRN vipi imekula kwao sana?
 
Uchakachuaji ndiyo inaendelea bila shaka. Kwani nahisi fld wako wengi sana. Sasa wakitazama huku tuendako hapafai na wanaona ni bora wafanye hivyo.
 
Hahahh! Wana hofu tena wakiyatoa raia wataponda kwamba watoto wa wamefeli hahhahah! Ila sisi raia tupo kwa kazi hyo bana kwa ni mwendo wa kunyooshana tu ukiboronga na matokeo yenu kama yatakuwa mabovu! Sis ni kuponda tu!
 
mpaka sasa matokeo ya mtihani wa taifa wa kidato cha 2 mpaka leo hayatoka huku shule zikiwa zimefunguliwa,nini tatizo makamanda?BRN vipi imekula kwao sana?

[h=2]Biashara ya Uchawi Tanzania[/h]
Mikoa saba nchini Tanzania ndiyo tishio kwa kuwa na nguvu kubwa za uchawi
1. Tanga ndio kinara
2. Lindi unafuatilia
3. Dar es Salaam
4. Mtwara
5. Tabora
6. Kigoma
7. Mwanza

Mikoa yenye wachawi wengi, kwa maana kwamba karibu kila kaya kuna mchawi
1. Sumbawanga (Rukwa) ndio kinara
2. Ruvuma inafuatialia
3. Mbeya
4. Singida

Mikoa ambayo wananchi wake ndio wateja wakuu wa wachawi
1. Kilimanjaro inaongoza
2. Morogoro inafuatilia
3. Kagera

Wateja wengine wa wachawi
1. Wafanyabiashara
2. Wasanii
3. Kina mama wa nyumbani
4. Wanafunzi wa shule za sekondari hasa wa kidato cha pili.
 
mpaka sasa matokeo ya mtihani wa taifa wa kidato cha 2 mpaka leo hayatoka huku shule zikiwa zimefunguliwa,nini tatizo makamanda?BRN vipi imekula kwao sana?

kuna taarifa kwamba matokeo ya mwaka huu ni MAJANGA kuliko kipindi chochote ktk historia ya nchi hii. Serikali inajaribu kuchakachua lakini hayachakachuliki. Sasa wanafikiria kuyafuta altogether. Ngoja tusubiri tuone itakuwaje.
 
Duh! Nilikuwa siamini kama humu tuna watoto mpaka wa Form two

kwani mtu mzima hawezi kuwasemea watoto wa form ii? ina maana mtu yeyote atakayehoji matokeo ya form ii, naye ni mtoto wa form ii? think BIG dude!
 
Hahahh! Wana hofu tena wakiyatoa raia wataponda kwamba watoto wa wamefeli hahhahah! Ila sisi raia tupo kwa kazi hyo bana kwa ni mwendo wa kunyooshana tu ukiboronga na matokeo yenu kama yatakuwa mabovu! Sis ni kuponda tu!

wewe ulitaka matokeo yakiwa mabaya wananchi tusherekee? wewe sio mzima! wapuuzi wote mmetoka kule facebook mmehamia huku.

mods watu kama hawa ingefaa wafungiwe hawana faida yeyote kwenye jukwaa hili--wanatuongezea idadi tu!
 
Kwani kuwa form 2 inamzuia mtu kutoa kile alicho nacho moyon hapa jf? au ni roho ya kibaguzi miongoni mwetu
 
sasa mkuu mbona unatuharibia topic? uchawi wako huu unahusianaje na kuchelewa kutoka kwa matokeo ya form ii?
 
Kwani kuwa form 2 inamzuia mtu kutoa kile alicho nacho moyon hapa jf? au ni roho ya kibaguzi miongoni mwetu

huyo aliyetoa hiyo comment ni mwehu--achana naye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…