unajua vijana hawa wakiona matokeo yanachelewa wanaweza kwenda kwa waganga. Nani ajuaye labda wengi wapo kwa waganga wanatambika.sasa mkuu mbona unatuharibia topic? uchawi wako huu unahusianaje na kuchelewa kutoka kwa matokeo ya form ii?
wewe ulitaka matokeo yakiwa mabaya wananchi tusherekee? wewe sio mzima! wapuuzi wote mmetoka kule facebook mmehamia huku.
mods watu kama hawa ingefaa wafungiwe hawana faida yeyote kwenye jukwaa hili--wanatuongezea idadi tu!
kwani mtu mzima hawezi kuwasemea watoto wa form ii? ina mtu yeyote atakayehoji matokeo ya form ii, naye ni mtoto wa form ii? think BIG dude!
huyo aliyetoa hiyo comment ni mwehuu--achana naye.
mpaka sasa matokeo ya mtihani wa taifa wa kidato cha 2 mpaka leo hayatoka huku shule zikiwa zimefunguliwa,nini tatizo makamanda?BRN vipi imekula kwao sana?