Wadau napitia hoja zinazotolewa humu kuhusu matokeo ya Kidato cha Nne ikanikumbusha mijadala mikali iliyokuwepo ya Matokeo ya Kidato cha Pili na Darasa la 7 kuwa ni mabaya sana. Hivi nini kimefanyika au ni upepo umepita sasa tuko kwenye Kidato ha Nne? Nauliza tu!