Matokeo ya kidato cha pili

KALENDA

Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
72
Reaction score
28
Wana JF,
Naomba mnisaidie kunijulisha jinsi gani nitapata matokeo ya kidato cha pili mwaka 2011, nasikia yametoka najitahidi kutafuta
ili niangalie matokeo ya mtoto wangu bado sijafanikiwa.
Kama kuna yeyote mwenye kujuwa yanapatikana kwenye web site ipi naomba anijulishe.
Natanguliza shukurani.
 
Huwa hayawekwi kwenye web ya wizara,mara nyng yanapelekwa shulen direct.
 
Mkuu nenda kwenye shule anayosoma yatakuwa kwa headmaster au Academic teacher kwenye web utakesha unatafuta
 
Kwa mwaka jana si hayana madhara yale ya kurudia? Kama vipi mkaushie tu kwani hatarudishwa darasa

Mwaka huu kweli nasikia hawarudii,so mtihani ulikuwa kama test tu.
 
Nashukuru kwa majibu na ushauri wenu mzuri !.
 
Matokeo ya Form 2 itakuwa aibu ya mwaka na wasipoangalia ndilo litasababisha anguko la Magamba baada ya lile la darasa la saba....wastani wa 30 watoto wenyewe ndio wale walifaulu kwa alama 60 kati ya 250?tusubiri tuone!
 

kaka rekebisha huo mwaka 2011?? Au miwani yangu inanidanganya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…