matokeo ya kidato cha sita 2012

matokeo ya kidato cha sita 2012

wakijiwe

Member
Joined
Apr 8, 2012
Posts
34
Reaction score
4
matokeo ya kidato cha sita mwaka 2012 yametoka na muendelezo wa kufeli unakua mkubwa. Chek web ya necta.go.tz
 
Tunashukuru kwa kutujuza but wahusika watalihamishia jukwaa la elimu nadhani
 
haya matokeo nayo ni siasa?

Ndio tatizo kubwa la hii nchi. Kila kitu ni siasa. Juzi tuu kuna mtu alikuwa anaponda wale wanaojikita MMU akidai kuna mambo muhimu ya kujadili jukwaa la siasa.
 
Back
Top Bottom