W wakijiwe Member Joined Apr 8, 2012 Posts 34 Reaction score 4 May 1, 2012 #1 matokeo ya kidato cha sita mwaka 2012 yametoka na muendelezo wa kufeli unakua mkubwa. Chek web ya necta.go.tz
matokeo ya kidato cha sita mwaka 2012 yametoka na muendelezo wa kufeli unakua mkubwa. Chek web ya necta.go.tz
Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member Joined Feb 7, 2012 Posts 4,641 Reaction score 3,680 May 1, 2012 #2 haya matokeo nayo ni siasa?
K Kassim Awadh JF-Expert Member Joined Mar 12, 2012 Posts 884 Reaction score 187 May 1, 2012 #3 Tunashukuru kwa kutujuza but wahusika watalihamishia jukwaa la elimu nadhani
huskryderz Member Joined Dec 23, 2011 Posts 27 Reaction score 27 May 1, 2012 #4 matoke yanapatikana kwa urahisi tumia address KaziBongo: FORM SIX EXAMINATION RESULTS 2012
EMT Platinum Member Joined Jan 13, 2010 Posts 14,477 Reaction score 15,325 May 1, 2012 #5 Mc Tilly Chizenga said: haya matokeo nayo ni siasa? Click to expand... Ndio tatizo kubwa la hii nchi. Kila kitu ni siasa. Juzi tuu kuna mtu alikuwa anaponda wale wanaojikita MMU akidai kuna mambo muhimu ya kujadili jukwaa la siasa.
Mc Tilly Chizenga said: haya matokeo nayo ni siasa? Click to expand... Ndio tatizo kubwa la hii nchi. Kila kitu ni siasa. Juzi tuu kuna mtu alikuwa anaponda wale wanaojikita MMU akidai kuna mambo muhimu ya kujadili jukwaa la siasa.
Ciphertext Senior Member Joined Apr 21, 2012 Posts 160 Reaction score 33 May 1, 2012 #6 Mc Tilly Chizenga said: haya matokeo nayo ni siasa? Click to expand... Kapotea mlango, msamehe tu.