Mpendanchi-2
JF-Expert Member
- Apr 4, 2009
- 304
- 38
Unaweza kupata Result Slip yako hapa ya Form VI, 2009
Just ingiza number yako kama ilivyoelekezwa hapo utapata Slip yako Printable to Hard copy or to pdf na inakubaliwa kwenye applications za vyuo vingi tu kwa sasa. Ukiwa na cloured printer huna haja ya kuhangaika kwenda tena posta!!!!
National Examinations Council of Tanzania

simon mussaHii kitu haiwezi kuleta result slip ya mwaka mwingine zaidi ya 2009????