Zgerald95
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 235
- 59
Binafsi nina maswali mengi sana najiuliza kichwani mwangu cpati majibu kwanza kabisa ni kuhusu matokeo ya kidato cha nne mwaka 2012 serikali imeamuru matokeo ya kidato cha nne yafutwe wakati tayari watoto wameshapewa living certificate pamoja na result sleep sasa me celewi watapewa result sleep mbilimbili au lah kama hyo haitoshi wanafunzi wengine tayari wameshapewa mimba wakidhani hawataendelea na shule na wengine wamejinyonga...sijui hii serikali yangu ilifikiria nini MATOKEO YA KIDATO CHA SITA nayo ndo ivyo mwezi unaisha huu hata bado haijulikani yatatoka lini na siku ndo zinazidi kwenda cjui hivo vyuo wanafunzi watavi apply saa na hayo ma process ya TCU yalivyokuwa marefu...wadau embu nisaidieni katika hili sababu me siilewi kabisa serikaji yangu MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI NECTA