Matokeo ya kidato cha sita yametoka. Kwa ufaulu huu, watoto siku hizi wana akili nyingi sana?

Matokeo ya kidato cha sita yametoka. Kwa ufaulu huu, watoto siku hizi wana akili nyingi sana?

shuka chini

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2024
Posts
842
Reaction score
1,928
Habari za mida hii wadau

Nimekuja na hoja yangu tuijadili.Leo matokeo ya kidato xha sita yametoka ila watoto nimeona wamefaulu sana

Unakuta shule ina division one na two.sasa jamani mimi swali langu ni hili hivi tuseme watoto wasasahivi wanaakili sana kuliko wazazi wao .maana kipindi chetu kupiga one da ujikunje hasa.

Wasiwasi wangu ni kwamba tunapoendea hata wenye division two watakuja kukosa vyuo maana vijana wanavunja sio utani.

Pia soma:Matokeo Kidato cha Sita 2024 yatoka. Ufaulu wapanda kwa asilimia 0.26
 
Back
Top Bottom