Nimekuja na hoja yangu tuijadili.Leo matokeo ya kidato xha sita yametoka ila watoto nimeona wamefaulu sana
Unakuta shule ina division one na two.sasa jamani mimi swali langu ni hili hivi tuseme watoto wasasahivi wanaakili sana kuliko wazazi wao .maana kipindi chetu kupiga one da ujikunje hasa.
Wasiwasi wangu ni kwamba tunapoendea hata wenye division two watakuja kukosa vyuo maana vijana wanavunja sio utani.