Matokeo ya kidato cha sita

Habari za ndani zinaeleza kuwa na nyie mlipika sana midahalo hivyo ili kuepuka aibu na kusakamwa sana na wananchi hasa vyama vya upinzani wameamua kuyapitia upya ili kujiridhisha...
Na mwaka huu yatatangazwa na mheshimiwa Rais mwenyewe kwenye hotuba yake mwishoni mwa mwezi huu.
Vuta subira kijana.
 
unaharaka yatoke unataka uende wapi navyuo muda wenu wa kuingia bado usikimbilie maisha wewe!!!:A S-fire1:
 
haita tokea form four wafeli na hawa six wafeli bado yanarekebishwa
 
yalikuwa mabaya sana kwani Walipanga matokeo kwa kutumia viwango vipya vya madaraja kwa sasa wanayapanga upya sambamba na ya form 4 ili kupunguza ziro kuwa na subira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…