Taarifa nilizopata sasa hivi ni kwamba kulikuwa na recount
kabla ya hapo mbunge alikuwa Ally(Chadema), kwa ushindi wa kura 450
baada ya recount Mbungev wakachakachua matokeo ikawa CCM kwa tofauti ya kura 1000 ila wanachi wamegoma matokeo , na wamepigwa mabomu ya machozi.Je kwa njia hii tutafika kweli???:sad:
Taarifa nilizopata sasa hivi ni kwamba kulikuwa na recount...
Hivi sasa niko kigoma mjini na matokeo ni kama ifuatavyo:
Kigoma mjini : Chadema wameongoza kwa kura 400, serukamba wa ccm kagoma kusaini matokeo so wameomba recount na sasa kura zinahesabiwa, zitto yupo hapa kuweka mambo sawa. Ila so far chadema imeongoza.
Kigoma kusini : Kafulila wa nccr kashinda tena kwa kishindo
kigoma kaskazini: Zitto kapeta
majimbo yote ya kasulu nccr imeongoza akiwepo mwanamama mmoja
kibondo mjini (muhambwe): Nccr imechukua tena ni kijana mdogo sana anaitwa felix mkosamali
kibondo vijijini (buyungu): Chadema anaongoza, japo kura bado zinahesabiwa.
So mpaka sasa kama mambo yakienda vizuri kwenye jimbo la buyungu na upinzani wakachukua basi kigoma yote itakuwa ya upinzani
weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...............