W werema01 Member Joined Feb 10, 2010 Posts 47 Reaction score 0 Nov 1, 2010 #21 Habari zinachanganya, nlisikia baada ya kurudia kuhesabu kigoma mjini ccm akashnda..... Kwa sasa mambo yakoje? Numbers do matter
Habari zinachanganya, nlisikia baada ya kurudia kuhesabu kigoma mjini ccm akashnda..... Kwa sasa mambo yakoje? Numbers do matter
MwanajamiiOne Platinum Member Joined Jul 24, 2008 Posts 10,470 Reaction score 6,580 Nov 1, 2010 #22 werema01 said: Habari zinachanganya, nlisikia baada ya kurudia kuhesabu kigoma mjini ccm akashnda..... Kwa sasa mambo yakoje? Numbers do matter Click to expand... Hivi Matokeo yangeonyesha CCM imeshinda wangekubali kura zirudiwe kuhesabiwe??
werema01 said: Habari zinachanganya, nlisikia baada ya kurudia kuhesabu kigoma mjini ccm akashnda..... Kwa sasa mambo yakoje? Numbers do matter Click to expand... Hivi Matokeo yangeonyesha CCM imeshinda wangekubali kura zirudiwe kuhesabiwe??
I ilboru1995 JF-Expert Member Joined Oct 4, 2007 Posts 2,329 Reaction score 269 Nov 1, 2010 #23 Zitto again? anasimamia recount? chadema ijiandae kulipoteza hilo jimbo coz Zitto kashachukua mshiko kwa serukamba... prove me wrong...
Zitto again? anasimamia recount? chadema ijiandae kulipoteza hilo jimbo coz Zitto kashachukua mshiko kwa serukamba... prove me wrong...