Wakuu naomba mnijuze matokeo ya kuappel huwa yanachukua muda gani kutoka maana nishajaza barua bado kurudisha tu.
Alafu huwa yanabadilikaga kwa kiasi gani.nataka kuappeal mtihani wa kidato cha nne 2012 kama mitihani miwili hivi
NAOMBA MSAADA WENU WAKUU
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.