Matokeo ya kuappel yanachukua muda gani kutoka?

Sheko

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2013
Posts
280
Reaction score
26
Wakuu naomba mnijuze matokeo ya kuappel huwa yanachukua muda gani kutoka maana nishajaza barua bado kurudisha tu.
Alafu huwa yanabadilikaga kwa kiasi gani.nataka kuappeal mtihani wa kidato cha nne 2012 kama mitihani miwili hivi
NAOMBA MSAADA WENU WAKUU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…