Matokeo ya kuingilia na kuharibu mchakato wa katiba mpya

Matokeo ya kuingilia na kuharibu mchakato wa katiba mpya

mapanga3

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
665
Reaction score
633
Katiba mpya lilikuwa ni wazo jema la kuirekebisha katiba lili iendane na wakati lkn pamoja na kuchukua muda mrefu na hatua nyingi hatimae iliishia kwenye bunge la katiba.

Nakumbuka tume ya katiba mpya iliyoongozwa na mzee Warioba ilivyozunguka nchi nzima kukusanya maoni ya wanachi juu ya katiba yao, mwisho wa siku ikaishia mikononi mwa mwa bunge maalum la katiba.

Nakumbuka mbuge lilikuwa chini ya mwenyekiti Marehemu Samwel Sita, na makamo wake akiwa Mama Samlia Suluhu Hasani ambaye kwa sasa ni makamo wa rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Viongozi hawa kwa dhati kabsa na maelekezo toka kwa Mh. Kikwete walibadirisha rasimu ya katiba na kupitisha ile ilyotakiwa na chama chao.

Madhara yake sasa yanaonekana yameanza kuwaathili hata wao, najua alipo JK anajilaum, mama Samia pia maana hakuna atakaye salimika kwa uongozi huu.

Mlitaka kujifurahisha kwa kuharibu mchakato wa katiba ya wanachi sasa cha moto tunakipata wote.
 
acha wakome kama wimbo wa ccm kipindi cha kampeni. waliyataka wenyeweeeeex2,
 
Nape mnafiki Mkubwa, Leo ushujaa kautoa wapi.
Vijana tunalalamika njaa yeye kijana mwenzetu anahangaika na chama kukisifia na kuhujumu watu wenye uelewa juu ya uongozi.
Leo nimefurahi sanaaa
Ukitunga sheria mbovu jua itawaathiri watu wengi na hata wewe mwenyewe

 
Back
Top Bottom