Kanyafu Nkanwa
JF-Expert Member
- Jul 8, 2010
- 850
- 103
Nasubiri matokeo kutoka Rungwe ya Prof. Mwandosya, maana nilimuonya rafiki yangu Steve Mwaka atulize boli kwanza asubiri 2015 kwa kuwa nina uhakika Prof hawezi kugombea mwaka huo iwapo atakosa chepuo la urais.
Sio Jimboni tu hata katika nafasi yake wizarani, watu waligeuza UKIMWI na Maralia miradi ya kibiashara bwana, na yeye anacheka tu na kufaidika na tuVG cent twa miradi hiyoWow..ikithibitika km ndio hivi then ni bomba coz Prof hakufaa kwemye jimbo lile...
Huko uhitaji hata kusubiri. Lazima Prof. kachukua kitu. Yuko juu sana.
Halafu huko Kyela bila jina lako kuwa "Mwa"-somebody ina maana ndio usahau kabisa ubunge eeh?
Nasubiri matokeo kutoka Rungwe ya Prof. Mwandosya, maana nilimuonya rafiki yangu Steve Mwaka atulize boli kwanza asubiri 2015 kwa kuwa nina uhakika Prof hawezi kugombea mwaka huo iwapo atakosa chepuo la urais.
Washindi katika baadhi ya majimbo
Mwakyembe (Kyela),Makongoro Mahanga (Ukonga?),Mary Nagu(Hanang?),Ole Medeye (Arumeru),Masha (Nyamagana),January Makamba (Bumbuli),Anthony Diallo (Mwanza?),Mathayo (Musoma),Ole Sendeka (Simanjiro),Richard Kasesera (Rungwe Mashariki),Hussein Bashe (Nzega),Ntukamazina (Ngara),Dr.Batilda (Arusha Mjini),Kimaro (Vunjo),Prof.Mwandosya (Rungwe Magh),Anne Kilango (Same),Nape Nnauye (Ubungo).
Wabunge Maarufu waliokwishapoteza ni Malecela (Mtera),Prof.Mwakyusa (Rungwe Mashariki),Lembeli,Mama Mwangunga na Selelii.
Je wakati umefika wa kupitisha Petition kumtaka mama Rose Kamili kurudisha kadi ya CCM?Washindi katika baadhi ya majimbo
Mary Nagu(Hanang?),.
Prof alifanya kosa kutogombea urais mwaka huu, alikuwa na nafasi nzuri ya kumpiga kidali poo Mh. JK. Mwaka 2015 sidhani kama ataweza kupamba na Dr. Asha-Rose Migiro ambaye wengine tunampa nafasi kubwa ya kuombwa na NEC ya CCM arudi agombee upresidaa
Ila ombea Mungu asihamie CHADEMA maana mpambano utakuwa mkali zaidi na Dr. Slaa akiwa na Mwakalinga.
Hatimaye sasa itakuwa rahisi kumwambia Mwakalinga ahamie CHADEMA.
Gwa Kumitwu, nakubaliana na wewe ndio maana nadhani Mbeya na washabiki wa Mwandosya wafikirie juu ya ndoto yao kuwa Mwandosya atakuwa bado hot cake 2015 kama alivyokuwa 2005. Anaweza kuwa katika nafasi nzuri kama tu atapambanishwa na akina Bernard labda!! lakini kama Magufuli ata-keep pace yake hivi hivi, na Asha-Rose na wakapambanishwa na yeye anaweza akajikuta anashika namba 4. Lakini tukubaliane kuwa siasa is very Dynamic huwezi kutabiri ushindi au anguko, Chochote kinaweza kutokea. Nasubiri matokeo ya Makete Dr. Norman Sigalla anapambana na Dr. Binilith MahengeParameters ziko dynamic ndugu. mambo bado machanga kabisa. Unajua kuwa mpaka siku Dr. Bilal anatangazwa kuwa makamu wa Rais,, rais wa Zanzibar (karume) alikuwa bado anaamini kuwa yeye ndiyo makamu wa Rais?! Ilikuwa ni mikakati ya muda mrefu, lakini atmosphere ili-change mle mle CC na Bilal akachukua. Politics si mchezo
Washindi katika baadhi ya majimbo
Mwakyembe (Kyela),Makongoro Mahanga (Ukonga?),Mary Nagu(Hanang?),Ole Medeye (Arumeru),Masha (Nyamagana),January Makamba (Bumbuli),Anthony Diallo (Mwanza?),Mathayo (Musoma),Ole Sendeka (Simanjiro),Richard Kasesera (Rungwe Mashariki),Hussein Bashe (Nzega),Ntukamazina (Ngara),Dr.Batilda (Arusha Mjini),Kimaro (Vunjo),Prof.Mwandosya (Rungwe Magh),Anne Kilango (Same),Nape Nnauye (Ubungo).
Wabunge Maarufu waliokwishapoteza ni Malecela (Mtera),Prof.Mwakyusa (Rungwe Mashariki),Lembeli,Mama Mwangunga na Selelii.
Great News!
FMEs!
kwa habari za karibu nilizonazo Dr. Mwakyembe kashinda kwenye kura ya maoni akifuatiwa kwa mbali na Elias Mwanjala.
mwenye taarifa zaidi atupatie maana tambo za jimbo hilo zilikuwa si haba.
Prof alifanya kosa kutogombea urais mwaka huu, alikuwa na nafasi nzuri ya kumpiga kidali poo Mh. JK. Mwaka 2015 sidhani kama ataweza kupamba na Dr. Asha-Rose Migiro ambaye wengine tunampa nafasi kubwa ya kuombwa na NEC ya CCM arudi agombee upresidaa
Pia huko Mbeya mfanyabiashara mwenye mtandao wa mahotel ya Nkwenzuru kashinda kura za maoni CCM
Keil,
Naliongelea kuhamia CHADEMA kwa sababu moja kubwa kuwa tayari atazoa baadhi ya watu wake na ahame nao CHADEMA. Chadema tayari watakuwa na wajumbe wengi ambao ni PRO Mwakalinga na si Pro CCM.
Hii zaidi ipo kama njia ya kusaidia KULINDA kura za Slaa kwenye uchaguz wa RAIS.
Kwa hali ilivyo sasa, sidhani kama atataka tena kurudi kwenye SIASA. Sintashangaa akirudi zake UK na kwenda kubeba Box za Kichina kama watamhitaji au abadili kazi kabisa. Kila kitu kina uzuri na ubaya wake. Familia yake itakuwa upande fulani happy kuwa baba KARUDI.
Anyway, kwenye maisha huwa kuna kushinda MAPIGANO na kushinda VITA. Only God knows nani atakuwa mshindi wa VITA. Ndiyo maana huwa wanasema "Mchekaji, ni yule anacheka wa MWISHO."
Ngoja tusubiri matokeo ya SIKONGE sasa na DR. SLAA kivumbi kikianza.