Elections 2010 Matokeo ya Kura za Maoni CCM Jimbo la Bariadi Mashariki

Elections 2010 Matokeo ya Kura za Maoni CCM Jimbo la Bariadi Mashariki

Nyauba

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2008
Posts
1,098
Reaction score
109
Wadau wa JF ningeomba kujua matokeo ya kura za maoni katika jimbo la bariadi mashariki kwa tiketi ya CCM kuanzia nafasi ya kwanza hadi ya tano.

Nina interest ya kisiasa na hili jimbo.

Tafadhali mwenye data anaijuzee..
 
Back
Top Bottom