Kenya 2022 Matokeo ya Kura za maoni nchini Kenya

Kenya 2022 Matokeo ya Kura za maoni nchini Kenya

Kenya 2022 General Election

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Matokeo ya Kura za maoni kuelekea uchaguzi mkuu nchini Kenya

Raila Odinga amempita kwa wingi mkubwa wa kura mpinzani wake Wa karibu ambaye ni Makamu wa Rais Dkt William Rutto

FB_IMG_16474439700995861.jpg
 
Duh ?

Ingawa Kura za Maoni huwa wanakosea mara nyingi sana na sio Guarantee ila sidhani kama wanaweza kukosea kwa gap kubwa kiasi hicho...

Anyway a Day, let alone weeks in Politics ni nyingi sana, Raila anaweza kufanya blunder mambo yakabadilika...
 
Matokeo ya Kura za maoni kuelekea uchaguzi mkuu nchini Kenya

Raila Odinga amempita kwa wingi mkubwa wa kura mpinzani wake Wa karibu ambaye ni Makamu wa Rais Dkt William Rutto

View attachment 2153105
Kura kama hizo Huwa zina mrengo ndugu. Hiki ni kipindi Cha uchaguz propaganda ni nyingi sana. Huwez Jua HYo taasisi ikiyotoa hYo maon nan kaifadhil. hTa kma ruto atashindwa si Kwa Margin HYo..
 
ni Vizuri Raila ashinde na hapo watu wanaandaliwa kisaikolojia ili matokeo ya kura yakitoka washingae na kupinga
 
Odinga kapambana sana kuusaka urais, natamani kuona akishinda tuone ataifanyia nini nchi yake.
 
Mimi nilijua kwamba kura ya maoni huwa inaonesha matokeo ya pande zote mbili pinzani. Tena kutoka kwenye maeneo yote ambayo walifanya kura yao ya maoni. Hapo naona Maeneo ya Central, Rift Valley na 'Upper Eastern' pia hayajatajwa.
 
Back
Top Bottom