Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Ruto kwishaaaMatokeo ya Kura za maoni kuelekea uchaguzi mkuu nchini Kenya
Raila Odinga amempita kwa wingi mkubwa wa kura mpinzani wake Wa karibu ambaye ni Makamu wa Rais Dkt William Rutto
View attachment 2153105
Kura kama hizo Huwa zina mrengo ndugu. Hiki ni kipindi Cha uchaguz propaganda ni nyingi sana. Huwez Jua HYo taasisi ikiyotoa hYo maon nan kaifadhil. hTa kma ruto atashindwa si Kwa Margin HYo..Matokeo ya Kura za maoni kuelekea uchaguzi mkuu nchini Kenya
Raila Odinga amempita kwa wingi mkubwa wa kura mpinzani wake Wa karibu ambaye ni Makamu wa Rais Dkt William Rutto
View attachment 2153105
Haingii ikuluRaila kapambana mpaka kaingia ikulu
Team Ruto watapindua meza kwenye utangazaji wa matokeoMatokeo ya Kura za maoni kuelekea uchaguzi mkuu nchini Kenya
Raila Odinga amempita kwa wingi mkubwa wa kura mpinzani wake Wa karibu ambaye ni Makamu wa Rais Dkt William Rutto
View attachment 2153105
Ni wale wale, hakuna jipyaOdinga kapambana sana kuusaka urais, natamani kuona akishinda tuone ataifanyia nini nchi yake.
Bado hajaingia.Raila kapambana mpaka kaingia ikulu