SuperNgekewa
Member
- May 10, 2010
- 49
- 3
Matokeo ya Kura za Urais Haya Hapa.
Hadi leo Tume ya Uchaguzi haijaweka matokeo ya kura za Urais kwenye website yao. Inachokiogopa inakijua yenyewe.
View attachment 17460

Haya ili kerere ziishe,
Kikwete=5,921,447.41 44.56%
Sraa=5,907,913.52 44.45%
kwa hiyo mshindi wetu ni Slaa no Sraa
kwa hiyo aliyestahili kuwa rahis ni Sraa lakini Rais ni Jakaya Mrisho Kikwete
grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
Matokeo ya Kura za Urais Haya Hapa.
Hadi leo Tume ya Uchaguzi haijaweka matokeo ya kura za Urais kwenye website yao. Inachokiogopa inakijua yenyewe.
View attachment 17460
Matokeo ya Kura za Urais Haya Hapa.
Hadi leo Tume ya Uchaguzi haijaweka matokeo ya kura za Urais kwenye website yao. Inachokiogopa inakijua yenyewe.
View attachment 17460
grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
Mkuu mambo gani haya mnatuletea! We uliona wapi idadi ya kura ikawa na decimal places? kwa mfano; eti DSM Slaa alipata kura 580,544.25 Kama mnataka kuchakachua tafuteni IT wazuri sio hizi takwimu za kitoto.
Matokeo ya Kura za Urais Haya Hapa.
Hadi leo Tume ya Uchaguzi haijaweka matokeo ya kura za Urais kwenye website yao. Inachokiogopa inakijua yenyewe.
View attachment 17460
:teeth: si hivyo tu bali hata hesabu za kutoa na jumlisha zimeshindikana... mwenye chache ndie mshindi, sa sijui kwanini hawampi Mtamwega :teeth:Watu nao wanakwenda kwa desimali? sikujua!