Matokeo ya leo kati ya Azam na Yanga ndio yasadifu uchaguzi mkuu oct 25

duttu.e

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2014
Posts
851
Reaction score
972
Mechi ya leo kati ya Azam na Yanga itasadifu matokeo ya uchaguzi mkuu wa oct 25, ambapo AZAM itakuwa inawakilisha UKAWA na YANGA itawakilisha CCM atakae shinda moja kwa moja kulingana na uwakilishi wao ndiyo atakae chukua nchi.
 
Usichanganye madawa. Huko Yanga na Azam kuna watu wa vyama vyote. Hushangai Rage ambaye ameongoza Simba mara kadhaa kuwa mwana CCM? Kwenye chama anavaa nguo za kijani bila ajizi.
 
Umekosea sana,siasa iache hukohuko.
Mimi ni ukawa but ni Yanga damu.
 
Back
Top Bottom