Mechi ya leo kati ya Azam na Yanga itasadifu matokeo ya uchaguzi mkuu wa oct 25, ambapo AZAM itakuwa inawakilisha UKAWA na YANGA itawakilisha CCM atakae shinda moja kwa moja kulingana na uwakilishi wao ndiyo atakae chukua nchi.

Usichanganye madawa. Huko Yanga na Azam kuna watu wa vyama vyote. Hushangai Rage ambaye ameongoza Simba mara kadhaa kuwa mwana CCM? Kwenye chama anavaa nguo za kijani bila ajizi.