Kijumba chake pale mtoni hakina kibali cha ujenzi...Maalim yupo Mtoni si kwa hisani ya SMZ bali ni sheria kabisa unajuwa kuwa Maalim ni waziri kiongozi mstaafu wa SMZ,na anapata haki zote za ustaafu wa nafasi hiyo kama wanazopata Bilali na Ramadhani Haji Faki?
Kwa hiyo ni kweli kabisa anaijuwa vizuri kwa kuwa ameshakuwa kiongozi wake na anaijuwa CCM na SMZ vizuri zaidi kuliko hata Shamsi Nahodha na Hamza
Mbona hamkubomoa?Kijumba chake pale mtoni hakina kibali cha ujenzi...
Kijumba chake pale mtoni hakina kibali cha ujenzi...
.Zile ndevu zake kabadilisha siku hizi (kama nilivyoona katika picha). Haweki ndevu za kibedui tena bali anaweka ndevu za Maulama (zile za kidevuni hasa -goatee). Nafikiri Maalim anabadilika sasa.Uzuri Maalim Madevu anajua ni nini SMZ, otherwise asingekuwepo Mtoni leo hii!
....If i were JK, ningehakikisha hakuna amani kati ya wawili hawa ili muungano usije ukavunjikia mikononi mwangu na ningehakikisha wanavurugana kila siku ili wote waone umuhimu wangu waniombe kuingilia kusaidia kutuliza presure wanazo peana.Sijui kama JK na wasaidizi wake wanaliona hili.
Utambuzi huu unafuatia kikao cha faragha cha wawili hawa. Uamuzi huu, utaleta tumaini jipya kwenye visiwa hivi vya karafuu. Mambo yafuatayo yatafuatia wiki ijayo
1. Karume atamteua Maalim na Juma kuingia Barazani.
2. Cuf watarudi mezani mazungumzo ya Muafaka
3. Muafaka kutekelezwa baada ya Uchaguzi 2010.
Haya ni maandalizi kama wanavyo yaita wao wenyewe ya kuwa na Nchi ya Zanzibar . Hii ndiyo siri kubwa juu mkutano huu . Lakini sasa wacha tuone Maalimu anavyo wachezea Wapemba na wana CUF . Mazungumzo ya 2 tu then maamuzi yanatangazwa . CUF mwisho wake . Je wale walio mwaga damu na kuzikwa inakuwaje ?Unamtumbua Karume usiku badala ya asubuhi ?
- Pasco, una maana hizi siku zote CUF walikuwa hawamtambui Karume? Are you serious mkuu wangu au?
- Una maana walikuwa hawaendi bungeni au kwenye Baraza la Wawakilishi ambako Karume ni makamu wa Rais na Rais wa Zanzibar?
Respect.
FMEs!
- Pasco, una maana hizi siku zote CUF walikuwa hawamtambui Karume? Are you serious mkuu wangu au?
- Una maana walikuwa hawaendi bungeni au kwenye Baraza la Wawakilishi ambako Karume ni makamu wa Rais na Rais wa Zanzibar?
Respect.
FMEs!
Upo sahihi kabisa.
Sasa Zanzibar kutetea maslahi yao ndani ya muungano bila kujali itikadi na kwa nguvu sana. Kinachofuata? Maalimu anakuwa kiongozi wa Upinzani ndani ya Baraza la Wawakilishi na kupewa hadhi zote za Ofisi hiyo kama Hamad Rashid katika Bunge la Muungano. Kisha Maalim Seif anakuja Bunge la Muungano katika nafasi 5 za Baraza la Wawakilishi.
Patamu sana........................................... what unfolds? Huu ni wakati ambao Zanzibar itapata kila itakacho maana CCM bara ipo hoi kwa magomvi na hawana umoja. Sikilizia
.....CCM bara ipo hoi kwa magomvi na hawana umoja.....