Matokeo ya matumizi ya mfumo wa e-Ardhi mkoani Njombe yanaendelea kuonekana

Wizara ya Ardhi

Govt Institution
Joined
May 14, 2024
Posts
306
Reaction score
165



Matokeo ya matumizi ya mfumo wa e-Ardhi mkoani Njombe yanaendelea kuonekana, ambapo wananchi wanapata huduma za ardhi ikiwemo hati miliki kwa haraka, urahisi na ufanisi kupitia mfumo huo.

Mafunzo na uhamasishaji wa matumizi ya e-Ardhi yaliyodumu kwa wiki moja yamefikia tamati leo, Septemba 21, 2026. Pamoja na kukamilika kwa mafunzo hayo, wananchi wataendelea kupata elimu na huduma kupitia Kliniki za Ardhi zitakazofanyika kuanzia wiki hii, ili kuwawezesha kutumia mfumo wa e-Ardhi na kunufaika na huduma za ardhi kwa njia ya kidijiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…