Matokeo ya mchunjo wa urais sekomu ni aibu tupu

sabai

Member
Joined
Dec 17, 2012
Posts
69
Reaction score
7
leo,mnamo saa tano asubuhi, tume ya uchaguzi ilianza mchakato wa kuwapata wangombea wa kiti cha urais, katika serikali ya wanafunzi wa chuo kikuu cha kumbukumbu ya sebastiani, mwenyekiti wa tume hiyo mis.joyce rukanda alianza kwa kuwakaribisha wagombea urais na wenza kama ifuatavyo:

Ally rama kama rais na mgombea mwenza
chacha, daniel
chibwi joramu
mapunda
a marco joseph.

Baada ya interviev, ally rama na chacha daniel wameondolewa kwa vingezo vya misimamo yao mikali ya kutaka kuwatetea wanachuo kweli kweli, kilicho jiri wakati mwenyekiti wa tume alipo kuwa anatangaza matokeo ya washindi mara tu ya kuwataja ally rama na chacha kuwa wameshindwa , wanachuo walianza kutoka sehemu hiyo na kudai kuwa wapiganaji wetu wameondolewa kwa shinikizo la dean of student godfrey walalaze anaye endelea kudidimiza democrancy ndani na nje ya chuo ,

kwa kifupi wanachuo wameumia sana na wengi wanasema dean na rais anayeondoka wameingilia mchakato mzima wa kumpata mgombea anayetufaa sisi kama wanasekomu kweli leo nimeamini mageuzi ya kweli katika vyuo kama hivi vya kata kupatikana ni vigumu je wadau ktk vyuo vyenu mchakato wa kumpata rais dean anahusika kivipi na mbaya zaid wamempitisha chibwi joramu mwenye gpa 3.4 ni majanga
 
Uandishi kwa kutumia "screen touch" ni changamoto la Kitaifa: rais = Rais? chuo kikuu cha kumbukumbu ya sebastian = Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Sebastian? mwenyekiti wa tume = Mwenyekiti wa Tume? N.k., N.k.
:A S-confused1::A S-confused1:
 
Hawa maraisi Mbona ni wengi sana. Mimi nataka maraisi watatu tu Tanzania hii. Halafu ukirudia tena kuandika bila kufuata kanuni za uandishi nitaliondoa jina lako bodi ya mikopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…