Tumbo Tumbo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 1,278
- 1,553
Sisi showoff tu,yaani wanaudhi kweli. Mpira tecnics. Ng'ombe hanenepi siku ya mnada.Burundi Taifa Dogo Limefuzu Afcon Leo Hii, Sisi Tunahamasisha Watu Kujaa Uwanjani Na Kuambiwa Tutauziwa Bia ½ Bei Kuliko Kufanya Maandalizi Toka Zamani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnatia aibu vita kila siku wenyewe kwa wenyewe..Timu ya Burundi inasaidiwa Na wale wakimbizi wenye uraia wa UlayaAcana na BURUNDI taifa dogo ila tunafanya mambo makubwa sana[emoji1060]View attachment 1052246
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnatia aibu vita kila siku wenyewe kwa wenyewe..Timu ya Burundi inasaidiwa Na wale wakimbizi wenye uraia wa Ulaya
Obora zetu sisi mzee baba, nyie ambao hamna vita mko wapi? Mpira hauchezwi mdomoni mzeeMnatia aibu vita kila siku wenyewe kwa wenyewe..Timu ya Burundi inasaidiwa Na wale wakimbizi wenye uraia wa Ulaya
Natamani kesho Lethoso ishinde.Pia Taifa dogo la Lesotho nalo kesho linafuzu likiliacha Taifa la Mabashite wakiugulia maumivu.
Sent using Jamii Forums mobile app