Matokeo ya mikopo ya chuo kikuu yanatuchanganya

Geoff

New Member
Joined
Sep 21, 2012
Posts
1
Reaction score
0
Ndugu zangu wasomi.....
Huu ni waraka wangu kwenu kuwatakia subira manake wiki sasa inakaribia kukatika bila
y kujua muamala wetu km tumepata mkopo au lah...!!!! Bodi y mikopo inapaswa kutambua ni
jinsi gan wananchi tulivyokuwa na presha y kutaka kujua mbichi na mbivu...!!!! na hapa
dunian hakuna kitu kigumu km kusubir matokeo au majib y kitu chochote kile.......Hivyo Bodi
y Mikopo inapaswa kujipanga ili kuondoa lawama na chuki kutoka kwa wanafunzi......a.k.a
Wasomi wa Nchi hii.........
Yangu ni hayo 2 wajamen.....
Mwanazuon, Udom
 
Tanzania mpaka lini uhuni huu? Hivi posho na malupulupu ya wakubwa wakiondolewa nani atakosa mkopo? Wenyenchi amkeni!
 

Yanachanganya kivipi? Si yametoka majina yanasomeka. Weka vizuri post yako, hujaeleweka ulikusudia kutoa ujumbe upi, though unaonekana una ujumbe mzito wa kutoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…