Mhache
JF-Expert Member
- Jun 20, 2008
- 345
- 25
Matokeo ya mitihani wa darasa la saba yametoka na Mkoa wa Dar es Salaam umeongoza kwa kufaulisha ukifuatiwa na jiji la kitalii, mkoa wa Arusha. Cha kushangaza ni kwamba idadi kubwa ya waliofaulu hawatapata nafasi ya kuendelea na masomo ya kidato cha kwanza. Je hilo ni tatizo la nani? Na kama wengi hawatapata nafasi ya kuendelea na masom kuna maana gani ya kufaulu?
Soma Pia matokeo ya miaka mingine
Soma Pia matokeo ya miaka mingine
- Matokeo Darasa la Saba: Shinyanga, Singida na Tabora Kulikoni?
- Matokeo ya darasa la saba 2010 shule binafsi zafanya kweli iringa
- Matokeo ya Darasa la Saba yatangazwa rasmi
- Matokeo ya Mtihani wa Taifa Drs la Saba 2013, Kumi bora.
- Matokeo ya darasa la Saba 2014 yatangazwa, mkoa wa Dar es Salaam waongoza
Matokeo ya Mtihani wa Darasa la saba mwaka 2015 yatangazwa - NECTA yatangaza matokeo ya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi kwa mwaka 2017. Shule kanda ya Ziwa zang'aa
- RIPOTI KAMILI: Kuhusu matokeo ya Darasa la Saba 2016
- NECTA yatangaza Matokeo ya darasa la saba kwa mwaka 2018. Ufaulu waongezeka kwa asilimia 4.96 kutoka mwaka 2017
- NECTA yatangaza matokeo ya Darasa la Saba 2019. Ufaulu waongezeka kwa asilimia 3.78
- NECTA Yatangaza matokeo ya darasa la Saba. Shule 38 zafutiwa matokeo kwa udanganyifu
- Matokeo darasa la Saba 2021: Kagera yaporomoka, Kilimanjaro mambo safi
- Matokeo ya darasa la saba yametangazwa leo 1/12/2022
- Matokeo ya Darasa la 7: Wanafunzi 31 wafutiwa Matokeo kwa kufanya Udanganyifu