Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba mwaka 2008

Mhache

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2008
Posts
345
Reaction score
25


Hilo ni tatizo la Professor Maghembe kutangaza vita wakati hata rungu hana
 
Serikali iko bize na uingizaji wa magari ya kifahari ....................................
 
labda hapo ndipo serikali itakapoamka na kubaini kuwa kile inachokiita mafanikio katika sekta ya elimu ni kiinimacho tu
 
....kwa mwendo huu nina shaka na mkakati wa serikali kwamba wanafunzi wote wanaohitimu elimu ya msingi waende sekondari,sidhani kama itafanikiwa......
 
Tanzania bado ha2japata viongoz ambao wapo commited haswa na maendeleo ya elimu.hivi ni kweli serikali imeshindwa kuweka mazingira ya kuingiza sekondari watoto wote waliofaulu darasa la saba?kamwe sitaki kuamini hilo kwani viongozi wetu ni watu wa anasa mno na kujijali wenyewe huku wakiwaacha watoto wa 'small peasants' wakikosa kwenda shule...!
 
Wanashida gani mtoto wa mlala hoi akikosa shule,wakati watoto wao lazima wataenda shule tena za bei kubwa kwa pesa za mlalahoi tena mtoa jasho
 
Huu ulikuwa mkakati wa EL, utafufuka akirudi.
....kwa mwendo huu nina shaka na mkakati wa serikali kwamba wanafunzi wote wanaohitimu elimu ya msingi waende sekondari,sidhani kama itafanikiwa......
 
Asilimia tisini ya wanaosoma pale mlimani chuo cha ukweli hapa tz wanatoka vijijini
 
Tbc wametangaza matokeo yatatoka kesho au keshokutwa,matokeo ya mwaka huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…