Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba mwaka 2008

Kwani wanafaulu au wanachaguliwa tu? maana wapo wengine hawajui hata kusoma wala kuandika
 

Hebu fafanua vizuri walifaulu walifauluje halafua wasiendelee?hapo kuna kitu.
 
Kwani wanafaulu au wanachaguliwa tu? maana wapo wengine hawajui hata kusoma wala kuandika

utachaguliwa vipi bila kufaulu mzee?
mi nafikiri unafaulu, then unachaguliwa shule flani kulingana na ufaulu wako................
 

Kufikiria kuwa kunakufaulu kwa ushenzi wa baraza la mitihani ni upuuzi wa hali ya juu. wewe hapa umeposit pumba tu. mitihani kuchagua alafu chini ya kiwango! Mungu ibariki Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…