Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,903
- 1,360
Kuna uhuni fulani katika website ya necta. Nilipofungua jana saa za jioni nikakutana na message ifuatayo:
THE NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA
MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA (ACSEE) 2011 YAMETOKA
Bofya hapa| | KWA WATEJA WA VODACOM KUPATA MATOKEO KWA UJUMBE MFUPI (SMS) TUMA UJUMBE KWENDA 15311 KATIKA MUUNDO UFUATAO -- MATOKEOXNAMBA YA KITUOXNAMBA YA MTAHINIWA MFANO: MATOKEOXS0000X0500| | --> USAJILI WA ACSEE 2012 UMEANZA RASMI Bofya hapa
Soma Pia Matokeo ya miaka mingine kuanzia 2009
Lakini kila nikibofya narudi kwenye main page au sehemu ya pili naenda kwenye usajili. Nimetuma sms kama ilivyoelekezwa hapo juu, nikaliwa tshs 400 na sikupata jibu lolote. Na leo ni hivyo hivyo!
Je kuna umakini wowote katika website hii?
Nawezaje kupata shs 400 zangu ?
Natumia mozilla firefox