Matokeo ya Mtihani wa Taifa Darasa la Saba 2013, Kumi bora

Matokeo ya Mtihani wa Taifa Darasa la Saba 2013, Kumi bora

Tafadhali naomba kujulishwa shule kumi bora kitaifa kwa mujibu wa matokeo ya mtihani wa Taifa darasa la saba 2013.

Ahsanteni.
Ya kwanza iko shinyanga ilikuwa na watahimiwa 50, ya pili Tusiime ilikuwa na watahiniwa 200 wanapanga kwa vigezo vipi wanajua wao waulize
 
Back
Top Bottom