G Gates Member Joined Jan 18, 2011 Posts 48 Reaction score 4 Nov 26, 2013 #1 Tafadhali naomba kujulishwa shule kumi bora kitaifa kwa mujibu wa matokeo ya mtihani wa Taifa darasa la saba 2013. Soma Pia matokeo mengine kuanzia mwaka 2008 Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba mwaka 2008 Matokeo ya Darasa la Saba mwaka 2012 yatangazwa rasmi
Tafadhali naomba kujulishwa shule kumi bora kitaifa kwa mujibu wa matokeo ya mtihani wa Taifa darasa la saba 2013. Soma Pia matokeo mengine kuanzia mwaka 2008 Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba mwaka 2008 Matokeo ya Darasa la Saba mwaka 2012 yatangazwa rasmi
Watu JF-Expert Member Joined May 12, 2008 Posts 3,231 Reaction score 1,471 Nov 26, 2013 #2 Gates said: Tafadhali naomba kujulishwa shule kumi bora kitaifa kwa mujibu wa matokeo ya mtihani wa Taifa darasa la saba 2013. Ahsanteni. Click to expand... Ya kwanza iko shinyanga ilikuwa na watahimiwa 50, ya pili Tusiime ilikuwa na watahiniwa 200 wanapanga kwa vigezo vipi wanajua wao waulize
Gates said: Tafadhali naomba kujulishwa shule kumi bora kitaifa kwa mujibu wa matokeo ya mtihani wa Taifa darasa la saba 2013. Ahsanteni. Click to expand... Ya kwanza iko shinyanga ilikuwa na watahimiwa 50, ya pili Tusiime ilikuwa na watahiniwa 200 wanapanga kwa vigezo vipi wanajua wao waulize