Thuwaein Yuzarseif
New Member
- Aug 21, 2012
- 2
- 0
tuko pamoja,tusubiri tu watatoa.Maana si mzumbe tu kuna vyuo vingi bado hawajatoa kwenye website zao.habari! nawaombeni msaada jamani nimechaguliwa katika chuo kikuu cha Mzumbe, lakini nahitaji nijione kwenye matokeo ya Mzumbe ili nihakikishe. Hivyo wapi ninaweza kuyapata matokeo ya Mzumbe? Mana nimeshafunguwa website yao lakini sijayaona bado.
Je umejuaje kama umechaguliwa mzumbe?
habari! nawaombeni msaada jamani nimechaguliwa katika chuo kikuu cha Mzumbe, lakini nahitaji nijione kwenye matokeo ya Mzumbe ili nihakikishe. Hivyo wapi ninaweza kuyapata matokeo ya Mzumbe? Mana nimeshafunguwa website yao lakini sijayaona bado.
#sasa wewe kwani uliapply kupitia TCU au Mzumbe Univ??? kama tcu washakujibu basi contract imeshakua fulfilled! kwanini unakua mgumu kuamini? au ulipitia mlango wa nyuma??
sasa wewe kwani uliapply kupitia TCU au Mzumbe Univ??? kama tcu washakujibu basi contract imeshakua fulfilled! kwanini unakua mgumu kuamini? au ulipitia mlango wa nyuma??