Matokeo ya national audit

Matokeo ya national audit

Mwana Mnyonge

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2011
Posts
518
Reaction score
451
Wadau naomba kuuliza matokea ya national audit tuliofanya tarehe 27 july yanatoka lini ?kwa mwenye kujua

nawasilisha
 
Baada ya ka mwezi hivi, c unajua serikalini haraka*2 haina baraka? So be patient tu
 
Ni mpaka aliyeagiza ayapitie na kuyaona kama yako kwenye mwelekeo anaoutaka
 
Na itakuwa bahati kama ukiyapata hayo matokeo, mtashtukia tu mmeshaitwa kazini, ukiona kimya jua hujapita
 
Back
Top Bottom