M Mwana Mnyonge JF-Expert Member Joined Mar 3, 2011 Posts 518 Reaction score 451 Aug 1, 2011 #1 Wadau naomba kuuliza matokea ya national audit tuliofanya tarehe 27 july yanatoka lini ?kwa mwenye kujua nawasilisha
Wadau naomba kuuliza matokea ya national audit tuliofanya tarehe 27 july yanatoka lini ?kwa mwenye kujua nawasilisha
M Mtabe JF-Expert Member Joined Sep 20, 2010 Posts 675 Reaction score 96 Aug 3, 2011 #2 Baada ya ka mwezi hivi, c unajua serikalini haraka*2 haina baraka? So be patient tu
N ngokowalwa Senior Member Joined Jul 22, 2011 Posts 154 Reaction score 23 Aug 3, 2011 #3 Ni mpaka aliyeagiza ayapitie na kuyaona kama yako kwenye mwelekeo anaoutaka
Mabagala JF-Expert Member Joined Nov 27, 2009 Posts 1,477 Reaction score 326 Aug 3, 2011 #4 Na itakuwa bahati kama ukiyapata hayo matokeo, mtashtukia tu mmeshaitwa kazini, ukiona kimya jua hujapita
Na itakuwa bahati kama ukiyapata hayo matokeo, mtashtukia tu mmeshaitwa kazini, ukiona kimya jua hujapita
Think Global RC Member Joined Mar 5, 2008 Posts 23 Reaction score 1 Aug 4, 2011 #5 Mabagala said: Na itakuwa bahati kama ukiyapata hayo matokeo, mtashtukia tu mmeshaitwa kazini, ukiona kimya jua hujapita Click to expand... Ngoja tusubiri wazee, no hurry in tz government.
Mabagala said: Na itakuwa bahati kama ukiyapata hayo matokeo, mtashtukia tu mmeshaitwa kazini, ukiona kimya jua hujapita Click to expand... Ngoja tusubiri wazee, no hurry in tz government.