Karibuni kwenye real practical world na vyeti vyenu vijana, huku ni batle ground wewe una cpa mwenzako anakuja na Acca na huku mwingine ana degree ya university of alabama nyumbani kina obama bila kusahau wa stanford pembeni na kamtoto ka fisadi kana elimu ya kuunga lakini ana experience ya BOT na mama na baba bado wapo kwenye system wameshamwandikia kimemo, Tanzania ya leo ni zaidi ya tuijuavyo,, but that is biggest stage wadau wote mliopata hiyo kitu,, hongereni sana as a journey of thousands mile begins with a single step na imani mtafika mbali