matokeo ya nursing ni vipi?

Kwa kawaida wizara ya afya huwa wanatoa majibu mwez wa kumi au wa tisa mwishoni, kwa hiyo bado ka wk mbili hivi yatoke.
 
Wanayachelewesha ya nn cz mtu umekaa mpaka unajikinai ivi kwel wanania nzuri na cc isitoshe kunaushindan sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…