Elections 2010 Matokeo ya opinion poll mengine haya

Elections 2010 Matokeo ya opinion poll mengine haya

Fanfa

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2009
Posts
1,830
Reaction score
2,878
Ndg wana JF.
katika pitapita yangu nimekutana na opinion poll inayoendelea kupitia link hii http://tzpoll.com/?page_id=195

Poll zote zinazoendeshwa kwenye net Dr. Slaa ni zaidi hawa REDET, Synovate ni mawakala wa chama fulani??

Iku juu ila mtu anweza kuvote mara nyingi.
 
Ndg wana JF.
katika pitapita yangu nimekutana na opinion poll inayoendelea kupitia link hii Tanzania General Election 2010

Poll zote zinazoendeshwa kwenye net Dr. Slaa ni zaidi hawa REDET, Synovate ni mawakala wa chama fulani??

Kwa kweli kama october 31st kura pia zitakuwa zinapigwa kwenye mitandao... Dr. Slaa is already a president... ama kama zinapigwa kwenye polling station!!! mhhhhh
 
[FONT=Comic Sans MS, cursive]Kikwete ni Mchawi![/FONT]
[FONT=Comic Sans MS, cursive]Watanzania amkeni tunamhitaji Rais mcha Mungu![/FONT]
[FONT=Comic Sans MS, cursive]Tunamhitaji rais anayeongozwa na Nguvu ya Mungu.[/FONT]
[FONT=Comic Sans MS, cursive]Tuzipinge nguvu za giza.[/FONT]​

[FONT=Comic Sans MS, cursive]Kura yako mpe Dr Slaa.[/FONT]

[FONT=Comic Sans MS, cursive]Siasa za majini hazifai![/FONT]​

[FONT=Comic Sans MS, cursive]Mtanzania wakati ni huu! Amua sasa[/FONT]
[FONT=Comic Sans MS, cursive]Mungu akubariki![/FONT]​
 
Nadhani hizi poll nyingine inabidi ziangaliwe kwa maneno yanayotumiwa. Unapomuuliza mtu anadhani nani atakuwa rais wa Tanzania badala ya kuuliza nani utampa kura nadhani si sahihi. Naweza kumpa kura mgombea lakini nisijue upepo unakwendaje au najua posibility ya kushinda ni ndogo lakini opinion yangu bado ikabaki kwake hivyo hivyo. Sawa na team kupigwa bao 4 dk ya tisini bado wenye team mtaipa support hivyo hivyo
 
Iku juu ila mtu anweza kuvote mara nyingi.

Hilo ninawezekana mkuu. Naona hata poll ya JF kuna watu wamekuwa na ID kibao lengo wapige kura ya maoni ili kushusha asilimia ya Dr. Slaa na kasi hii nimeanza kuiona siku saba zilizopita.
 
Kwa kweli kama october 31st kura pia zitakuwa zinapigwa kwenye mitandao... Dr. Slaa is already a president... ama kama zinapigwa kwenye polling station!!! mhhhhh
iNABIDI CCM WAZUIE MITANDAO ISIENEEE NCHI NZIMA ILI WAENDELEE KUWAONGOZA WASIOJUA HABARI ZAO MITANDAO IWE YA BEI YA JUU TUU!
 
iNABIDI CCM WAZUIE MITANDAO ISIENEEE NCHI NZIMA ILI WAENDELEE KUWAONGOZA WASIOJUA HABARI ZAO MITANDAO IWE YA BEI YA JUU TUU!
Si unakumbuka Makamba liwaambia waandishi wa habari waandike tuu lakini magazeti yao hayafiki Busanda, wala busanda hawana umeme wa kuangalia TV!!
Umaskini ndo mtaji wao!
 
Nilichong'amua ni kuwa matokeo ya Dr. Slaa na Jk yamegeuzwa kwa maana yale ya Dr. Slaa REDET na SYNOVATE wamempa JK na yale ya JK wamempa Dr. Slaa.

Lakini yale ya Lipumba ya asilimia tano yapo sahihi kabisa hayana ubishi hata kidogo.

Dr. Slaa ni 74% na JK ni 19%. Huo ndio ukweli kabisa ambao haujachakachuliwa hata kidogo.

CCM ni 15% Chadema ni 75% CUF ni 9% wnegineo 1%.

Uchaguzi mkuu utabainisha vioja vingi sana na CCM wakitaka kutumia ubabe tumekwisha kwa vurugu zisizo za lazima
 
Kwa kweli kama october 31st kura pia zitakuwa zinapigwa kwenye mitandao... Dr. Slaa is already a president... ama kama zinapigwa kwenye polling station!!! mhhhhh

Well, lakini hata sisi tunao piga kwenye mitandao ni wanadamu, unadhani JK katukosea nini hadi tusimpe kura yetu? na unadhani kuna kizuizi gabi hata huko kwenye polling stations mtazamo usiendelee kuwa huu, huu? Kumbuka tunao weza fika kwenye mitandao hatupo kisiwani, tunao ndugu, jamaa zetu na marafiki tunao wafikishia ujumbe huu kwa karibu, sana, ni afadhali mjiandae kwa lolote kuliko kujipa moyo wa plastiki kwamba ni kura za mtandaoni, joto likiongezeka hapo 31 october, huo moyo wa plastiki utayeyuka!
 
Kwa kweli kama october 31st kura pia zitakuwa zinapigwa kwenye mitandao... Dr. Slaa is already a president... ama kama zinapigwa kwenye polling station!!! mhhhhh
Hawa hawa sisi ndio wapiga kura. Hivyo usikonde. Kura yangu na familia yangu (mke na watoto watano) na rafiki zangu kibao zaenda kwa DR Slaa.
Mark you kwamba hao wengine mbali na mimi hawajapiga kura JF. Kikwete bye bye
 
Kura yangu, ya mke wangu, ya kaka zangu wa wili, ya mama yangu, wadogo zangu wawili zote kwa Dr Slaa na CHADEMA.
 
Maneno mengi ya nini,baada ya kupiga kura tu ni kukaa umbali fulani kulinda kura zetu.
 
Back
Top Bottom