Matokeo ya PSPTB na chuo bora

Matokeo ya PSPTB na chuo bora

Joined
Sep 10, 2013
Posts
76
Reaction score
21
Matokeo ya wanafunzi waliofanya mitihani ya bodi ya ugavi stage iv (PSPTB) mwaka jana mwezi wa 11 yapo mtandaoni! Cha kushangaza ni kwamba kwa mara nyingine wanafunzi waliohitimu kutoka chuo kikuu kishiriki cha masomo ya biashara na ushirika moshi (MUCCoBS) wameendelea kukimbiza ambapo kwa hesabu ya haraka haraka ni kama 60% ya wanafunzi wote! Huu sio muda wa kuleta siasa tena bali nadhani swali la msingi la kujiuliza ni kwa nini wanafunzi wa MUCCoBS wanafanya vizuri mitihani ya bodi! Sio PSPTB tu lakini hata mitihani ya NBAA maarufu kama CPA hali ni hiyo hiyo! Ni kwamba wanasoma sana? Au ni chuo bora chenye kufikia viwango vinavyohitajika? Ama labda wezi wa mitihani ya bodi? Ama labda waendeshaji wa bodi hizi wengi wamesoma hapo? Jibu unalo wewe ebu share na sisi! Kwa kuangalia matokeo ya PSPTB kwa stage iv bofya hapa ujionee mwenyeweeeee! PSPTB
 
Acha uongo,TIA ndo chuo knachowaburuza kwenye hyo mitian ya bodi ya ugavi.
 
Ndio maana nikasema huu sio muda wa siasa! Kwa taarifa yako mimi si mwanafunzi wa MUCCoBS, nasoma IAA! Mimi nimeleta hoja kwa kutumia facts ambayo ni matokeo ya paper za bodi ambayo yapo wazi, sasa wewe na ukilaza wako na ugumu wa kuelewa uliyezoea ubishi na ushindani unakurupuka tu! Kwa taarifa yako TIA ina wanafunzi 6 tu kati ya wanafunzi wote 217 walofanya stage iv na kufaulu!
 
Hongera zao. Ila pia iki kujua ni wanafunzi wa chuo gani wamefanya vizuri zaidi, haitakiwi kuangalia kiujumla.
Tunatakiwa kuangalia kila chuo ni wanafunzi wangapi walifanya huo mtihani na wangapi kati yao wamefauru.
Kwa mfano ikiwa chuo X walifanya mitihan wanafunzi 200 na wakafauru wanafunzi 70 wakati chuo Y walifanya wanafunzi 50 na wakafauru wanafunzi 40. Je unadhani ni chuo kipi hapo waliofanya vizuri zaidi?
 
Ni kile ambacho wanafunzi wengi wamefaulu.
 
Matokeo ya wanafunzi waliofanya mitihani ya bodi ya ugavi stage iv (PSPTB) mwaka jana mwezi wa 11 yapo mtandaoni! Cha kushangaza ni kwamba kwa mara nyingine wanafunzi waliohitimu kutoka chuo kikuu kishiriki cha masomo ya biashara na ushirika moshi (MUCCoBS) wameendelea kukimbiza ambapo kwa hesabu ya haraka haraka ni kama 60% ya wanafunzi wote! Huu sio muda wa kuleta siasa tena bali nadhani swali la msingi la kujiuliza ni kwa nini wanafunzi wa MUCCoBS wanafanya vizuri mitihani ya bodi! Sio PSPTB tu lakini hata mitihani ya NBAA maarufu kama CPA hali ni hiyo hiyo! Ni kwamba wanasoma sana? Au ni chuo bora chenye kufikia viwango vinavyohitajika? Ama labda wezi wa mitihani ya bodi? Ama labda waendeshaji wa bodi hizi wengi wamesoma hapo? Jibu unalo wewe ebu share na sisi! Kwa kuangalia matokeo ya PSPTB kwa stage iv bofya hapa ujionee mwenyeweeeee! PSPTB

Moshi University College ofCo-orperative Busines Studies ndio mpango mzima
 
Hongera zao. Ila pia iki kujua ni wanafunzi wa chuo gani wamefanya vizuri zaidi, haitakiwi kuangalia kiujumla.
Tunatakiwa kuangalia kila chuo ni wanafunzi wangapi walifanya huo mtihani na wangapi kati yao wamefauru.
Kwa mfano ikiwa chuo X walifanya mitihan wanafunzi 200 na wakafauru wanafunzi 70 wakati chuo Y walifanya wanafunzi 50 na wakafauru wanafunzi 40. Je unadhani ni chuo kipi hapo waliofanya vizuri zaidi?
ubaya wa mleta maada kakurupuka bila kuangalia kila chuo wamefanya wangapi na kudai chuo chake ndio bora.
 
Back
Top Bottom