Mtanza Mwenye Nia
Member
- Sep 10, 2013
- 76
- 21
Matokeo ya wanafunzi waliofanya mitihani ya bodi ya ugavi stage iv (PSPTB) mwaka jana mwezi wa 11 yapo mtandaoni! Cha kushangaza ni kwamba kwa mara nyingine wanafunzi waliohitimu kutoka chuo kikuu kishiriki cha masomo ya biashara na ushirika moshi (MUCCoBS) wameendelea kukimbiza ambapo kwa hesabu ya haraka haraka ni kama 60% ya wanafunzi wote! Huu sio muda wa kuleta siasa tena bali nadhani swali la msingi la kujiuliza ni kwa nini wanafunzi wa MUCCoBS wanafanya vizuri mitihani ya bodi! Sio PSPTB tu lakini hata mitihani ya NBAA maarufu kama CPA hali ni hiyo hiyo! Ni kwamba wanasoma sana? Au ni chuo bora chenye kufikia viwango vinavyohitajika? Ama labda wezi wa mitihani ya bodi? Ama labda waendeshaji wa bodi hizi wengi wamesoma hapo? Jibu unalo wewe ebu share na sisi! Kwa kuangalia matokeo ya PSPTB kwa stage iv bofya hapa ujionee mwenyeweeeee! PSPTB