matokeo ya semista ya kwanza(SAUT) yametoka leo jioni

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
10,962
Reaction score
7,830
matokeo ya semista ya kwanza hapa St.
Augustine yametoka jioni ya leo, mazuri kiasi! Sio mabaya sana
 
hivi bado kuna vyuo vina2mia mfumo wa kubandika results kwenye mbao za matangazo!!?
 
matokeo ya semista ya kwanza hapa St.
Augustine yametoka jioni ya leo, mazuri kiasi ila cha kushangaza chuo kikuu kama hiki bado kinatumia mtindo wa kizamani yaani Kubandika Matokeo ukutani!

Wewe ni mwongo fungua web yenu uone kama hayapo www.saut.ac.tz kuna mtu kanambia nimuangalizie na nimeyakuta
 
matokeo ya semista ya kwanza hapa St.
Augustine yametoka jioni ya leo, mazuri kiasi ila cha kushangaza chuo kikuu kama hiki bado kinatumia mtindo wa kizamani yaani Kubandika Matokeo ukutani!

Hapana ndugu.
Mbona nimeona kwenye web yao www.saut.ac.tz wameweka resultr na pia wamebandika copies kwenye mbao za matangazo.
Vp umekanyaga kimba?
 
Hapana ndugu.
Mbona nimeona kwenye web yao www.saut.ac.tz wameweka resultr na pia wamebandika copies kwenye mbao za matangazo.
Vp umekanyaga kimba?

walianza kibandika kwanza ukutani halafu baadae ndo wakayatoa net
 
Kumbe saut nao huwa wanafanya mitihani?
 
lini matokeo ya heslb mikopo kwa mwaka wa kwanza 2012 yatatolewa? moses.
 
Mkubwa saut results zpo hewan mda kdogo sio leo toka jana au juzi me nayaona! Wangapi wa saut jaman nipokeeni mie mpya saut
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…