Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,326
- 4,785
Neno "mysterious" kwangu mie ktk issue kama hizi ndipo huchukua maada .
Distrust or lack of sureness of an alleged fact haiepukiki katika maumbile yetu binadamu .
Hebu fuatana nami mguu kwa mguu tuperuzi mafanikio ya shule husika 2014.
Twibhoki primary school , inayopatikana wilaya ya Serengeti mkoani Mara .
Shule inayokwenda na nambari ya usajili P-0904095 .
Jumla ya candidate waliyofanya mtihani mwaka 2014 ni 33 .
Kiwilaya imekua ya 1 kati ya shule 105 .
Kimkoa imekua ya 1 kati ya shule 723 .
Kitaifa imekua ya 1 kati ya shule 15867 .
Wanafunzi wote 33 wamepiga alama "A" katika kila somo .
Masomo ni matano yaliyofanyiwa mtihani .
Hivyo kila candidate amejilambia "A" zake 5 .
Hivyo kufanya 33 x 5 = 165 .
Alama "A" 165 zimezalishwa .
Na upande wa position ya Average grade napo wote wamejipigia grade "A" , na kuzalisha jumla ya grade "A" 33 .
My doubt , nashindwa kutopata kigugumizi cha kuamini pasiwepo walau hata candidate mmoja aliyepata alama "B" au "C" aidha katika Subjects au katika Grade position .
Wadau wa bodi JF Nini mtazamo wenu katika hili ?