matokeo ya shule nabii japhet mungira ya efatha sec school s.4197 wamefeli wote kasoro wa2

matokeo ya shule nabii japhet mungira ya efatha sec school s.4197 wamefeli wote kasoro wa2

Bata batani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
3,217
Reaction score
3,694
huyu ndiye nabii mchungaji josephat mungira wa kanisa efatha la mwenge matokeo ya shule yake ni
division one-o,division two-2,division 3-2,divison 1v--121 na zero--157
 
haaa haaaaaaaaa...

ukisikia muujiza ndi huuuu lol
 
shule za kisanii hizi, wanachojali mtoto awe amelipa ada, basi!!!
hakuna cha continous assesment test wala nini.
 
Mbona hii haiendani na mwenendo wa Efatha?
 
Na serikali inachekelea tu!!! futilia mbali hiyo shule,inazalisha wajinga badala ya kuzalisha wasomi.
 
[h=3]s1806 yusuf makamba secondary school
[/h][h=3]div-i = 1 div-ii = 7 div-iii = 18 div-iv = 139 fld = 185[/h]
 
jamani mtume na nabii alishndwa nn kuwaombea vijana wake
 
Kumbe maombi ya kuombea pen, kifutio, pencil n.k hayasaidii
 
huyu ndiye nabii mchungaji josephat mungira wa kanisa efatha la mwenge matokeo ya shule yake ni
division one-o,division two-2,division 3-2,divison 1v--121 na zero--157


Miujiza bila kusoma, hao sio manabii ila matapeli waliokuja kuwafanya watanzania kuwa masikini zaidi, maana vipato vidogo vinaishia kanisani.
 
[h=3]s0410 uzini secondary school
[/h][h=3]div-i = 0 div-ii = 0 div-iii = 1 div-iv = 17 fld = 0[/h]
 
swala ni kwamba weng hamfahamu kuhusu Efatha shule hiyo tumeinunua mwaka jana shutuma hizo apewe aliye tuuzia alaf kitu kingine kuweni na nidhamu juu ya hich chombo cha Efatha na Mtume Mwingira matokeo ya hiyo shule ni mwakan ndo mtaongea
 
na serikali inachekelea tu!!! Futilia mbali hiyo shule,inazalisha wajinga badala ya kuzalisha wasomi.


itaacha kuchekelea wakati mtoto wa mkuu wa kaya naye ni ziro...sa nani atamfunga paka kengere...tehe tehe tehe...
 
  • Thanks
Reactions: D2K
Back
Top Bottom