Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
Mishule ya KATOLIKI hiyo!!
praise the lord and say amen.huyu ndiye nabii mchungaji josephat mungira wa kanisa efatha la mwenge matokeo ya shule yake ni
division one-o,division two-2,division 3-2,divison 1v--121 na zero--157
huyu ndiye nabii mchungaji josephat mungira wa kanisa efatha la mwenge matokeo ya shule yake ni
division one-o,division two-2,division 3-2,divison 1v--121 na zero--157
na serikali inachekelea tu!!! Futilia mbali hiyo shule,inazalisha wajinga badala ya kuzalisha wasomi.