Matokeo ya mitihani kwa supplementary ya Dar es salaam istitute of technology yametoka jana tarehe 17, kwa idara zote matokeo yamekua mabaya sana maana kwa diploma wengi wanarudia mwaka "retake" na discontinued.
Wale wa shahada ya uhandisi wengi wamecarry na discontinued nyingi pia. Mfano diploma ya computer engineering first year, pass ni 60, retake 8, abscond 16, disco 18 hapo walianza pamoja ni 102. Information technology pass 26, retake 3, abscond 20, disco 14, kutoka 63.Karibuni kwa maoni
mbona unakuwa na matusi wewe kilaza wa DIT na hiyo div 3 yako ya mwisho iliyokupeleka hapo kwenye hiyo taasisi....embu kuwa na heshima bna kwani princess sayuni kaongea nini kibaya hadi uwe na jazba hivo???.hiyo inadhihirisha kuwa uwezo wako kichwani ni wa kimagumashi.......get a life dude....fom 6 failure wewe....shika adabu yako.....
Niliingia D.I.T. moja kwa moja kutoka O-Level miaka hiyo. Na kwa taarifa yako, wengi wa wanaosoma D.I.T. ni wale waliosoma FTC/Diploma pale D.I.T. Hao wanao Retake/Disco wengi wao ni watoto wa Form Six na ndiyo huwa wanalalamika chuo kigumu.
Kama hujui kitu uliza mkund.u wewe.
:typing: ☕.
watu ambao hawaelewi dawa yao ni kuwapuuza tuu, wanadhani mtu anayesomea hivi vyuo (DIT, ARUSHA TECH &MUST) alifeli form four! ukweli watu ambao wanaongoza kwa kudisco kwenye hivyo vyuo ni wale waliotoka form six. Kwa ku declare interest tu mimi mwenyewe nilienda Arusha Tech direct from form four nikiwa na division TWO 2010.
Mkuu ilboru ulikaa dom gan na ulimaliza mwaka gan?
Usikute hata arusha kwenyew hajawahi kufika.
Usikute hata arusha kwenyew hajawahi kufika.